Monday, March 17, 2014

Wananchi wa kijiji cha Port Nyigoti wanufaika na mradi wa Maji

Ukaguzi wa Mradi


Maji oyeeeeeeeeeeeeeeeeee

  Kaimu Mkurugenzi wa Serengeti Wilson Charles akitoa Maelezo
Katibu Tawala Mkoa wa Mara Bw Benedict Ole Kuyan akizungumza na wanakijiji wa Port Nyigoti wakati wa kukabidhi mradi wa Maji
KATIBU TAWALA MKOA WA MARA BENEDICT OLE KUYAN AKIKABIDHI CHETI CHA MRADI WA MAJI YA KUSUKUMA KWA BOMBA KWA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA PORT NYIGOTI WILANI SERENGETI UKIWA NI UZINDUZI WA WIKI YA MAJI DUNIANI

source Binda

No comments:

Post a Comment