Monday, April 4, 2016

MAGESA MULONGO atangaza vita kwa wanaomiliki silaha kinyume na utaratibu

                         Bw MAGESA MULONGO - RC MARA

Mkuu wa Mkoa wa Mara Bw MAGESA MULONGO ametoa wiki tatu kwa wale wanaomiliki silaha kinyume na utaratibu kusalimisha silaha hizio haraka huku wanaomili ndani ya utaratibu kupeleka zikaguliwe.

RC Mulongo ametoa agizo hilo wilaya ya Bunda mkoani Mara baada ya kukutana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Mara ambapo alisema baada ya kukamilika wiki hizo oparesheni kali itafuata.

No comments:

Post a Comment