Tuesday, November 19, 2013

RAIS KIKWETE AWASILI POLAND KUHUDHURIA MKUTANO WA TABIA NCHIRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Warsaw, Poland, kuhudhuria mkutano wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Kyoto kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi unaoanza leo Jumanne Novemba 19, 2013

PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment