Tuesday, November 19, 2013

MAFUNZO YA TMF YA UBORESHAJI WA UANDISHI WA MITANDAO YAINGIA SIKU YA PILI MJINI DODOMA

Wanahabari  washiriki  wa mafunzo  ya  ubora  wa uandishi  wa mitandao ya kijamii  wakieleza  kile  walichojifunza  jana  kabla ya kuanza  darasa  leo mjini  Dodoma katika  mafunzo  yaliyoandaliwa na TFM
Wakufunzi  wa mafunzo  ya  ubora  wa uandishi wa mitandao  ya kijamii Beda Msimbe kushoto na Simon Mkina  wakijiweka sawa  kabla  ya kuanza mafunzo  hayo
Bi Joyce  kutoka TMF akijiandaa kwa  kazi ya  siku ya  pili
Bw  Sanga  kutoka  TMF  kulia akipongeza  darasa kwa  kukumbuka  waliyojifunza jana
No comments:

Post a Comment