Friday, November 22, 2013

Mafunzo ya siku 5 ya uboreshaji wa habari katika Mitandao ya Kijamii yafikia tamati mkoani Dodoma

 Washiriki  wa  mafunzo  ya  habari  bora  za uchunguzi  wakiwa siku ya mwisho ya mafunzo hayo ya TMF mjini Dodoma

 Mkufunzi  Beda Msimbe akitoa maelekezo ya mwishoRaziah Quallatein Mwawanga kutoka  TMF akiwaeleza  washiriki wa mafunzo hayo juu ya kazi  watakazokwenda  kuzifanya

No comments:

Post a Comment