Tuesday, July 2, 2013

NHIF yatoa ngao kwa washindi wa Mashindano ya TIKA

1
Naibu Waziri wa Elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Kassim Majaliwa akikabidhi ngao iliyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa mshindi wa mashindano ya TIKA yaliyofanyika mjini Morogoro kwa Kiongozi wa timu ya Garage FC Jumanne Wida baada ya kuibuka washindi.
2
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emanuel Humba akikabidhi ngao kwa Shaaban Mrisho kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TIKA yaliyodhaminiwa na NHIF.
3Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akipeana mkono wa pongezi na Mkuu wa Mkoa  wa Morogoro Joel Bendera baada ya kupokea cheti cha ushiriki na mchango wa NHIF uliotolewa kufanikisha maadhimisho ya Serikali za Mtaa 4 Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba akionesha cheti kilichotambua mchango wa NHIF katika maadhimisho hayo. 4Kikosi cha Timu ya Garage FC ambacho kiliibuka mshindi katika mashindano ya TIKA wakiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Mfuko uliodhamini mashindano hayo

No comments:

Post a Comment