Tuesday, July 2, 2013

BARACK OBAMA AMEONDOKA MCHANA HUU KURUDI MAREKANI

Msafara wa Rais Barack Obama ukipita katika barabara ya New Bagamoyo katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam jana kuelekea Ubungo

  Gari ya Rais wa Marekani Barrack Obama,ikitoka kwenye kiwanda cha kufua umeme cha Symbion eneo la Ubungo kabla ya kuelekea uwanja wa ndege Gari ya Rais wa Marekani Barrack Obama,ikitoka kwenye kiwanda cha kufua umeme cha Symbion eneo la Ubungo kabla ya kuelekea uwanja wa ndege
 Akiwa anaelekea Airport tayari kwa safari ya kurudi Marekani

Rais Barack Obama wa Marekani ameondoka nchini mchana huu kurudi nchini Marekani,baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini iliyoanza jana.... Rais Obama na mwenyezi wake Rais Jakaka Kikwete,leo walifanya ziara ya kutembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion iliopo Ubungo jijini Dar es Salaam na kuzindua rasmi mradi huo.... Tunapenda  kuungana na  Rais Jakaya  Kikwete na  watanzania  wote  wapenda amani katika  kumshukuru Rais wa Marekani Barack Obama kwa  kuichagua  Tanzania... Pia tunawapongeza  watanzania  wote kwa kuonyesha umoja  wetu na hata  kuzika itikadi zetu za kisiasa   na   hata  kupelekea  TV zaidi ya 1000 duniani na radio zaidi ya  3000 duniani  kuitazama  Tanzania...  .

No comments:

Post a Comment