Friday, May 3, 2013

SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZAFANA MKOANI SHINYANGA.

 
NAIBU MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA SHINYANAGA MH.DAVID NKULILA AMABAYE NI MGENI RASMI KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MKOA WA SHINYANGA KATIKA MAADHIMISHO YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MAZINGIRA CENTER SHINYANGA
 
WAANDISHI WA HABARI WAKISIMAMA KWA MUDA WA DK MOJA KUWAKUMBUKA WAANDISHI WALIFARIKI WAKIWA KATIKA KAZI YA UANDISHI AKIWEMO DAUD MWANGOSI (R.I.P) 

                                                     MAANDAMANO YAKIENDELEA
HII NDIYO KAULI MBIU YETU

WAANDISHI WAKIWA KATIKA MAANDAMANO
MWAKILISHI WA ITV MKOA WA SHINYANGA STEPHEN WANGANYI AKIWA KATIKA MAANDAMANO

MAANDAMANO YAKISONGA MBELE
SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI SHY IMEKUWA POUWA SNA


MAANDAMANO YAKISHIKA BARABARA YA OFISI YA MKUU WA MKOA SHINYANGA.
NO JOURNALISTS NO TRUTHFUL INFORMATION

WANDISHI KATIKA MAANDAMANO MKOANI SHINYANGA

MWAKILISHI WA TBC MKOA WA SHINYANGA GREYSON KAKURU AKIWA KAZINI

KAZI IKIENDELEA

SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIII
SHINYANGA PRESS CLUB ON ACTION

MJI MZIMA WA SHINYANGA WALITAMBUA NINI TUNAMAANISHA

MWAKILISHI WA STAR TV SHABBAN ALLEY AKIFURAHIA SIKU YA UHURU WA VYOMBIO VYA HABARI SHY
ILIKUWA POUWA SANA AISEE KATIKATI NI MWENYEKITI WA SPC SHIJA FELICIAN AKIWA KATIKA MAANDAMANO

FULL MINESO MAZEE KAKURU AKIONYESHA SWAGA ZAKE WAKATI WA MAANDAMANO

MAANDAMANO YAKIENDELEA MJINI SHINYANGA

SHY PRESS CLUB SAFIIIIIIII

ILIPENDEZA KWELIKWELI

MAANADAMANO YAKIINGIA KATIKA UKUMBI WA MAZINGIRA CENTER

MGENI RASMI AKIPOKEA MAANDAMANO KATIKA VIWANJA VYA MAZINGIRA

SAFIIIIIIIII
KATIBU WA SPC MKOA WA SHINYANGA CAREEN MASASI AKITOA HISTORIA FUPI YA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA.

MWENYEKITI WA SPC SHIJA FELICIAN AKITOA HISTORIA FUPI YA CHAMA.

MWENYEKITI WA KAMATI YA MAADILI NDANI YA CHAMA CHA WAANDISHIWA HABARI MKOA WA SHINYANGA STEPHEN AKISALIMIA WANANCHI,
MWANDISHI WA HABARI GAZETI KA MWANACHI SUZY BUTONDO
KUTOKA KUSHOTO NI ZUHURA WAZIRI MRATIBU WA CLUB YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA AKIWA NA EDITHA EDWARD MWANDISHI WA GAZETI LA MTANZANIA MKOANI SHINYANGA.

MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA JAMBO LEO ELIZABETH MAXMILIAN AKIJITAMBULISHA.

MWANDISHI WA GAZETI LA MAJIRA SULEMAN ABEID AKIJITAMBULISHA,
JAMAA ANAJIITA MNAIGERIA NI MWANDISHI WA KUJITEGEMEA.
MWAKILISHI WA GAZETI LA NIPASHE MOHAB DOMINIC AKIWA KAZINI.

\
WAWAKILISHI WA OXFAM NAO WALIKUWEPO WAO WALITUVALISHA BHANA TUKAPENDEZA.

MWAKILISHI WA OXFAM KISUMA MAPUNDA AKITOA YAKE KUHUSU SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

ILIPENDEZA SANA AISEE

WAANDISHI WAKIWA KATIKA SHEREHE HIZO.

WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA

WAANDISHI KAZINI NDANI YA SIKU YAO YA HABARI.

MWAKILISHI WA AMREF GASPAR MISUNGWI AKIZUNGUMZA KATIKA MAJADILIANO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MKOA WA SHINYANGA.
WAANDISHI WAKIWAOMBEA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI.

No comments:

Post a Comment