Sunday, May 5, 2013

SHEREHE ZA UZINDUZI WA KANISA LA KKKT SHINYANGA DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA NA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU EMMANUEL MAKALA.

 
MWONEKANO WA NJE WA KANISA JIPYA LA KKKT SHINYANGA
WAZIRI MKUU ALIYEJIHUDHURU MH EDWARD LOWASA AKISHIRIKI IBADA KATIKA KANISA LA KKKT MJINI SHINYANGA LEO
ENEO LA WAIMBAJI NDANI YA KANISA HILO KWA JUU

WAUMINI WAKIWA KATIKA IBADA

IBADA IKIENDELEA KANISANI

NDANI PAMEJAA HIVYO MAENEO YA NJE PIA YALITUMIKA

WATUMISHI WA MUNGU WAKIENDELEA NA IBADA LEO MJINI SHY

WANA KWAYA WAKIWA WANAFANYA YALE YANAYOMPENDEZA MUNGU

IBADA ILIPENDEZA KWELI KWELI

WAUMINI WAKIENDELEA NA IBADA

MAASKOFU WAKIWA KATIKA IBADA YA UFUNGUZI WA KANISA HILO

AMANI YA BWANA IWE NANYI,MH LOWASA AKIPEANA MKONO WA AMANI NA WAUMINI WA KANISA HILO LA KKKT SHINYANGA

AMANI YA BWANA IKITAWALA KATIKA KANISA JIPYA LA KKKT MJINI SHINYANGA

SOMO LA KWANZA LIKISOMWA KWA MARA YA KWANZA KATIKA KANISA JIPYA LA KKT SHINYANGA

KWAYA MBALIMBALI ZILIKUWEPO KATIKA IBADA HIYO.

CAMERA YANGU ILIMBAMBA JAMAA YANGU KUMBE NAYE ALIKUWEPO BHANA

KWAYA IKIWAJIBIKA KATIKA WIMBO WA KWANZA KABLA YA NENO

WAUUMINI WAKIWA NJE MANA NDANI PALIKUWA PAMEJAA KWELIKWELI

WAUMINI IBADANI

IBADA IKIENDELEA

MWONEKANO WA KANISA UKIPIGA PICHA KWA JUU

KWAYA YA MATARUMBETA NA ALA KUTOKA CHUO KIKUU CHA TUMAINI  WAKIWAJIBIKA
 
WAKATI HUO MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH.BILAL AKIWA NA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ALLY LUFUNGA WAKIWASILI KANISANI

ASKOFU MKUU WA KANISA LA K.K.K.T TANZANIA ALEX MALASUSA AKIANZA ZOEZI LA KUMSIMIKA ASKOFU MAKALA
HAPA MCHUNGAJ MAKALA AKILETWA MBELE YA MADHABAU TAYARI KWA KUVISHWA WAKFU.

VIFAA MUHIMU NA MAALUMU ATAKAVYOTUMIA ASKOFU MAKALA VIKIWA VINALETWA MADHABAHUNI.

MAASKOFU WAKIPOKEA VIFAA HIVYO KWA AJILI YA KUVIOMBE NA KUMKABIDHI ASKOFU MAKALA

ASKOFU MALASUSA AKIKIBARIKI KITI ATAKACHOTUMIA ASKOFU MAKALA.
  
HIKI NDIYO KITI ATAKACHOTUMIA ASKOFU WA DAYOSISI HIYO MARA BAADA YA KUBARIKIWA NA ASKOFU MKUU WA KKKT TANZANIA.
VIFAA MAALUMU ATAKAVYOTUMIA ASKOFU MPYA VIKIOMBEWA

MAOMBI YA KUOMBEA FIMBO,BIBLIA,KOFIA,JOHO,KATIBA YA KKKT YAKIENDELEA KATIKA KANISA HILO KABLA YA KUSIMIKWA ASKOFU

KUTOKA KUSHOTO NI MAKAMU WA RAIS MH.BILAL,MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ALLY LUFUNGA,MBUNGE WA SHINYANGA MJINI STEVEN MASELE AMBAYE PIA NI NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PAMOJA NA MH.EDWARD LOWASA

MCH. EMMANUEL JOSEPH MAKALA ALIYESIMAMA CHINI AKIWA AMEWASILI MADHABAHUNI TAYARI KWA KUWEKEWA WAKFU WA KUWA ASKOFU WA DOYOSISI HIYO.

MCH.MAKALA KABLA YA KUWA ASKOFU HAPA AKILA KIAPO CHA KUKUBALI KUTUMIKIA NAFASI HIYO.

MAASKOFU WAKIWA WAMEMZUNGUKA MCH.MAKALA KWA AJILI YA KUMUWEKEA WAKFU.

MAOMBI YAKIENDELEA KUMUWEKEA WAKFU MCH MAKALA.

MCH MAKALA KATIKATI AKILA KIAPO MBELE YA MAASKOFU KUWA YUKO TAYARI KUIFANAYA KAZI YA BWANA.

WAUUMINI WAKISHUHUDIA TUKIO HILO LA KUWEKWA WAKFU MCH.MAKALA KUWA ASKOFU.
HAPA MCH.MAKALA AKIVALISHWA MKUFU WA KIUASKOFU MBELE YA WAUMINI.

HAPA AKIVALISHWA PETE YA UASKOFU
HAPA AKIVALISHWA KOFIA YA KIUASKOFU.
HAPA AKIWA AMEKABIDHIWA BIBLIA NA KITABU CHA NYIMBO.
WACHUNGAJI WA KKKT KUTOKA MAENEO MBALIMBALI WAKISHUHUDIA TUKIO HILO.

ZOEZI LA KUTIWA WAKFU LIKIENDELEA.

VIONGOZI WA KISERIKALI WAKISHUHUDIA TUKIO HILO.
ASKOFU MAKALA ALIYEPIGA MAGOTI KATIKATI AKIOMBEWA MARA BAADA YA KUWEKEWA WAKFU
AKIPONGEZWA MARA BAADA YA KUWEKWA WAKFU RASMI.

No comments:

Post a Comment