Thursday, April 25, 2013

TUJIKUMBUSHE YA KALE KUTOKA MWALIMU NYERERE ENZI ZA UHAI WAKE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiongea na wananchi.
Mwalimu akiongea na vijana kutoka mkoa wa Mara.
Mwalimu Nyerere akibadilishana nyaraka na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume.
Nyerere akisalimiana na Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi.
Mwalimu Nyerere (kushoto) na Bibi Titi Mohammed (katikati).
Bibi Titi na Mwalimu wakihutubia wananchi enzi za TANU.
Mwalimu akiongea na wananchi.

No comments:

Post a Comment