SERIKALI INAPASWA KULAUMIWA KWA UJENZI MBOVU WA BWAWA- NIMROD MKONO
Mbunge wa jimbo la Musoma vijiji Nimrod Mkono,amesema Serikali
inapaswa kulaumiwa kwa kuruhusu ujenzi huo kufanyika katika mkondo wa mkubwa wa
maji katika mto Mara jambo ambalo
limesababisha bwawa hilo kushindwa kuhifadhi maji hayo.
No comments:
Post a Comment