Wednesday, April 17, 2013

MKONO ATEMBELEA WANANCHI WA VIJIJI VYA WEGERO NA KONGOTO KATIKA WILAYA YA BUTIAMA MKOANI MARA WALIOKUMBWA NA MAFURIKO

 Mwenyekiti wa CCM Butiama  Yohana Mirumbe akionyesha kitu Mh Mkono
  Mh Mkono aliamua kuwaonyesha Wananchi wa eneo hilo ramani kuhusiana na eneo hilo
  Katika bwawa la Wegero ambalo limejengwa kwa zaidi ya Bilioni 1 lakini kwasasa linaonekana halina kiwango

  Baada ya Kukagua bwawa hilo Mahojiano yakachukua nafasi
 Watu wa Msalaba Mwekundu nao hawakuwa mbali

No comments:

Post a Comment