Mtoto
Abdallah anasumbuliwa na tatizo la MOYO, Moyo wake ni Mkubwa, Kwa sasa
Amelazwa Katika Wodi ya Watoto Katika Hospitali ya Mnazi mmoja, ambapo
anaendelea kupata Matibabu lakini LENGO ni kusafirishwa Nje yaNchi. Pia
Anasumbuliwa na Maradhi ya Tumbo Kujaa Maji ambapo analazimika Kutolewa
Maji Kila Baada ya Siku 3.
Kwa Yoyote Anayeweza Kutoa Kiasi chochote Cha Msaada Unaweza Kutumia Namba hii 0774 64 87 80 kuwasiliana Mama Mzazi wa Abdallah.
No comments:
Post a Comment