Monday, April 29, 2013

LEMA AACHIWA KWA DHAMANA ARUSHA

mH.akiwa kizimbani
Mbunge wa Arusha mjini Mh Godbles Lema ameachiwa kwa dhamana ya kushtakiwa kwa Makosa ya Uchochezi katika Mahakama ya Mkoa wa Arusha

Katika Mahakama hiyo kulikuwa na umati mkubwa wa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

No comments:

Post a Comment