Friday, April 26, 2013

AMIRI JESHI MKUU, RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA ASKARI 30

 Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Meja Jenerali wa JWTZ, Protest Rwegasira Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Kanali Shaban Lissu Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Meja Janeth Izengo Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Naibu Kamisna wa Polisi, Suleiman Kova Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku SACP Adolphina Chialo Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Kamishna wa Magereza Dionice Chamulesie Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Kamishna wa Magereza  Juma  Malewa Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunukuACP Sania Kigwe Nishani ya Utumishi Uliotukuka Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Kanali Adolph Mutta wa JWTZ, Nishani ya Utumishi Mrefu Tanzania, katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
  Amir Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimtunuku Luteni Kanali Michael Mumanga wa Kikosi cha Maji cha JWTZ, Niashani ya Utumishi wa Mrefu Tanzania,  katika hafla ya kuadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam jioni hii. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Rais Jakaya Kikwete (katikati mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na askari 30 aliowatunuku nishani mbalimbali, ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kuadhimiasha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam leo.  (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 JK akiwa na askari waliotunukiwa Nishani ya Utumishi Mrefu Tanzania
 JK akiwa katika picha ya pamoja na askari waliotunukiwa Nishani ya Utumishi Mrefu na Tabia Njema

 JK akiwa katika ya pamoja na askari waliotunukiwa Nishani ya Ushupavu
 JK akiwa na Kamati iliyoandaa nishani

 JK akiwa na mabosi wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania. Kutoka kushoto ni Kamishna wa Jeshi la Magereza, Minja, Mkuu wa Majesshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman

JK akizungumza na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman

No comments:

Post a Comment