Friday, April 26, 2013

HOTELI YA SERENGETI SERENA YATOA MSAADA WA VYAKULA NGUO,BIBLIA NA VYANDARUA KWA WAZEE,WALEMAVU NA WATOTO WA MAZINGIRA MAGUMU KIJIJI CHA PARK NYIGOTI SERENGETI

WAFANYAKAZI WA SERENGETI SERENA HOTELI ILIYOKO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI WAKIWA WAMEKAA ,KABLA YA KUTOA MSAADA KWA WAZEE,WALEMAVU NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KATIKA KIJIJI CHA PARK NYIGOTI KATA YA IKOMA WILAYANI SERENGETI.


MAANDALIZI YANAENDELEA KAMA INAVYOONEKANA HAPO

BAADHI YA VITU WALIVYOGAWA.KWA MAKUNDI HAYO MSAADA HUO UNA ZAIDI YA THAMANI YA SH.LAKI NANE,NA KILA MWAKA HOTELI HIYO HUTOA MISAADA KWA JAMII INAYOWAZUNGUKA,WILAYA ZA MAGU,BARIADI,MAGU NA SERENGETI.

UGAWAJI WA MISAADA UNAENDELEA KWA MAKUNDI LENGWA.

WAMEGAWA,MCHELE,SUKARI,NGUO AINA MBALIMBALI,SEMBE,UNGA WA NGANO,VYANDARUA NA BIBLIA.

MMOJA WA WAZEE AKIPOKEA MSAADA.

MZEE MACGEGE KITARETA(102)NI MIONGONI MWA WALIOSAIDIWA.

MZEE HUYO AKISAIDIWA KUSIMAMA NA MWENYEKITI WA SERIKALI YA KIJIJI CHA PARK NYIGOTI.No comments:

Post a Comment