Mamia
ya wananchi wakijiandaa kumlaki Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle
Thorning-Shmidt kupitia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam
leo.PICHA NA IKULU
Msafara wa Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt ukikaribia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt Ikulu Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe
Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akisalimiana na Waziri wa kazi na Ushirika wa Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Denmark Mhe
Helle Thorning-Shmidt wakiingia Ikulu huku wakishangiliwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt na ujumbe wake wakati wa mazungumzo rasmi
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtembeza Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle
Thorning-Shmidt katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo kupanda mti
wa kumbukumbu.
Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akipanda mti wa kumbukumbu huku mwenyeji wake akishuhudia leo Ikulu
No comments:
Post a Comment