Wednesday, March 13, 2013

MBOWE KUONGOZA MAANDAMANO MARCH 25 MWAKA HUU KATIKA MAJIJI 4 NCHINI

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (MB) jana alihutubia Mkutano wa hadhara wa Chama hicho Mjini Musoma Mkoani Mara. Mbali na Mbowe pia viongozi wengine akiwepo Mbunge wa Musoma pia alihutubia mkutano huo.
 
 Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (MB) akiihutubia Mkutano wa hadhara wa Chama hicho Mjini Musoma Mkoani Mara

No comments:

Post a Comment