HII NDIYO PICHA YA MHE. RUTO AKIMWAGA CHOZI BAADA YA KUPATA SHAVU LA UMAKAMU WA RAIS KENYA
Tukio
hili la Makamu Mpya wa Rais Kenya kumwaga chozi Kanisani mapema jana
ikiwa ni kuonyesha furaha ya ushindi akilinganisha matukio mbalimbali
aliyopitia limeendelea kuzua hisia na tafsiri tofauti kutoka kwa watu
mbalimbali, chek mwenyewe hapa...
No comments:
Post a Comment