Majadiliano,utani kama kawaida baadhi ya Wanahabari wakiwa pamoja na Mkurugenzi wa utafiti kutoka Mfuko wa Bima wa Taifa Bw Raphael Mwamoto
Emanuel Msigwa,Charles Hilali tukiwa pamoja mkoani Mtwara
Wanahabari nguli wakiwa katika majadiliano
Biashara ya Korosho haikuwa nyuma
Kukumbuka wengine ni sahihi,Godfrey Monyo wa ITV akiwa katika maandalizi ya kupelekea wa home
Stiven Wang'anyi wa ITV Shinyanga
William ngazija wa ITV akiwa katika Pozi
Geodfrey Monyo wa ITV,Kulinge Mongi wa Channel Ten (DOM) tukiwa katika maongezi
Hapa cjui huyu mchora katuni Mpangala anasema nn?
Familia ya ITV
Hatimaye sasa ikawa safari ya kurejea DSM na hapa tupo mkoani Lindi mbele ya chuo cha Veta
No comments:
Post a Comment