Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akielezea jinsi ya kuwaomba watabibu kutoka wizarani kwenda kwenye halmashauri mbalimbali nchini pamoja na hospitali. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba' PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba akihutubia kwa kuwapongeza wanahabari waliofanya utafiti
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, akihutubia na kushukuru kwa kongamano hilo kufanyika Mtwara |
Mwenyekiti wa kongamano, John Bwilre akiendesha mijadala mbalimbali
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamotto akielezea katika kongamano hilo jinsi wanavyobaini wanachama walaghai.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NHIF, Eugen Mikongoto (kulia) akiwa katika kikao na baadhi ya wakuu wa wilaya pamoja na wakuu wa baadhi ya mikoa ili kuweka mambo sawa. |
Mwandishi wa habari wa Nipashe, Sharon Shauwa akiwasilisha utafiti wake
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba (kushoto0 akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Wanahabari Celina Wilson wa Uhuru na Mbowe wa Mwananchi wakiwa katika semina hiyo |
Mwandishannel hi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten Dar es Salaam, Faraja Kihongole (kushoto) akiwa na mwenzie Vivian kutoka Kigoma |
Wnahabari wakiwa kazini wakati wa kongamano hilo
Kandoro (kushoto), Humba na Dk Rashid wakisikiliza tafiti mbalimbali zikiwasilishwa |
Ofisa Mahusiano wa NHIF, Grace Kisinga (kulia) na mwenzie wakiwajibika wakati wa kongamano hilo kuhakikisha mambo yanakwenda sawia.
Wakurugenzi na maofisa wa NHIF, wakisikiliza kwa makini mijadala mbalimbali
Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa ya Serikali Mwaifwani akielezea kuhusu utendaji wa bohari hiyo pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo |
No comments:
Post a Comment