Friday, December 7, 2012

NBC yadhamini semina ya vijana wajasiriamali

 
Meneja Ukuzaji wa Biashara Huduma za Kibenki kwa Wateja Wakubwa na
Kati wa Benki ya NBC, , Jonathan Bitababaje akitoa mada katika semina
ya vijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyika
katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwa
na Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi  ambayo benki hiyo
imedhamini.


 
 
Naibu Mkurugenzi wa Vijana katika Wizara ya Vijana, Habari,
Michezo na Utamaduni, James Kijugusi akizungumza  katika semina ya
vijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyika
katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwa
na Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi, Semina hiyo
imedhaminiwa na Benki ya NBC. Kushoto ni Mshauri wa Mahusiano wa benki
hiyo, Eddie Mhina na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa YESi,
 
Baadhi ya washiriki wa semina ya vijana kuhusu ujasiriamali
wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika ukumbi wa Don Bosco,
Dar es Salaam. Semina hiyo iliyoandaliwa na Shirika lisilo la
kiserikali la YESi ilidhaminiwa na Benki ya NBC.
source  Full shangwe

No comments:

Post a Comment