Baadhi ya watu aliosoma nao na kufanya nao kazi wakiwa makaburini leo
Mkuu wa chuo cha habari Royal katika(Mzee Chami) akiwa pamoja na baadhi ya wanahabari waliosoma na Lulu Oscar katika chuo hicho
Mkuu wa chuo cha habari Royal katika(Mzee Chami) akiwa pamoja na baadhi ya wanahabari waliosoma na Lulu Oscar katika chuo hicho
Hussen aliyeshika msalaba wamesoma wote na Marehemu lakini pia amefanya kazi na Marehemu Lulu Oscar
Marehemu Lulu Osca enzi ya uhai wake
Baba mzazi wa Lulu Oscar
Maulid Kambaya mfanyakazi wa Redio one Stereo ya jijini Dsm akiweka shada la maua katika kabauri la Lulu Oscar
Timothy Chelula,Hussen wakiwa Makaburini wakati wa kumsindikiza Lulu Oscar
Waombolezaji wakiwa makaburini
No comments:
Post a Comment