Anaitwa Bonny Zacharia mfanyakazi wa Ebony Fm ya mkoani Iringa lakini zamani alikuwa mfanyakazi wa Vfm ya mkoani Mara
Kama ilivyokawaida asubuhi ya leo tulikutana na vijana wa Ebony ili kufanya kazi ilituleta Iringa
Barabara ya Iringa - Mbeya inapendeza jamani,ebu chekiiiiiiiiiii
Suala la kupanda miti huku naona somo liliingia
Baaada ya kufika katika kijiji cha Nyalero kazi ilianza kama unavyoona mafundi wanaanda mambo
Feel the Difference
Hakuna kazi nyepesi kama unataka mafanikio hapa mwanaume anaingiza siku
moja ya kifaa ambacho kinatumika katika kurushia matangazo kutoka sehemu mbalimbali ingawa huko mambo ya mtandao yalisumbua
Unapokuwa mtangazaji lazima uwe na akili zaidi ya ulizopewa na Mola,Maregesi baada ya kuona mtandao unasumbua aliamua kutumia simu na mambo yakaenda poaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hatimaye raia wakasogea mambo yakapamba moto kwa kutoa kero zao na hapa nilibaini kuna viongozi katika eneo hilo wanamatumizi mabaya na ofisi za umma
watu kibao
Raia akijiachia na mawazo yake
Umakini lilikuwa jambo muhmu sana
Rika zote na jinsi zilikuwepo
Baada ya wananchi kutoa kero zao na kumaliza kipindi majira ya saa nne asubuhi tuliamua kupata supu ya kuku,maeneo yanaridhisha usione kwa nje brooooooooooooooooooooooo
Program Meneja wa Ebony akalazimika kutoa somo kwa vijana wa Vfm
HAPA ILIKUWA NI JANA WAKATI TUNAINGIA MKOANI IRINGA
Mazingira ya Iringa yanapendeza kiukweli
Ili mambo yaende mawasiliano muhimu
mtaani nmambo fasta fasta
Hotel hii ndiyo tumefikia hapa mkoani Iringa














































No comments:
Post a Comment