Thursday, November 24, 2011

MTIKISKO WA REDIO EBONY UMEWADIA

                             Wakati mwingine pozi muhimu
Baada ya kutoka katika mkutano wa hadhara tulipita katika uwanja wa soka hapa mkoani Iringa ambapo tulikuta mafundi wakiendelea kufunga jukwaa ambalo litatumika siku ya jumamosi katika burudani ambayo ipo mara moja kwa mwaka.usikose weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

No comments:

Post a Comment