Kijana Boniphace Augustine akiingia ndani ya ukumbi
Bi Harus Joyce na Best man wakiingia ndani ya ukumbi
Nilikutana nae katika ukumbi na mawasilino yakawa mazuri sana, ni rafiki tu
Vijana wakiwa katika pozi baada ya kuingia ukumbini
Bwana na Bibi wakiwa katikapozi ukumbini
Chondechonde ulevi noma
utulivu ulikuwepo
Baadaye tulijumuikana bi Harusi ukumbini
Wanamerereta bwana Boniphace Augustine na Bi Joyce Augustine
Anaitwa Boniphace Mgendi kijana ambaye nadhani ni msaada mkubwa kwa taifa kama atapata malezi bora





























No comments:
Post a Comment