Wafanyakazi wa vyombo mbalimbali vya habari Tanzania wakiwa katika semina ya kujadili suala zima la ulevi
Semina ikiendelea katika ukumbi wa Hotel ya G&G jijini Mwanza
Anaitwa Dj Lami kutoka Kahama Fm 90.8 akiwa katika pozi na mfanyakazi mwenzake
Mgeni Rasmi katika semina hiyo mganga mkuu wa mkoa wa Mwanza Dr Meshack Massi katikati akiwa na wageni wengine kulia kwake ni Mr Mlawa na mtaalamu wa masuala ya akili
Kama kawaida semina inaendelea
Mwezeshaji mr Abuu akisisitiza jambo
Umakini ulikuwa muhimu katika semina hiyo maana jamii inawategemea
Emanuel Chibasa kutoka Victoria Fm 90.6 Musoma kulia akiwa na Dj Lami kutoka kahama 90.8
Anaitwa Debora Mpagama kutoka Redio Free Afrika ya jijini Mwanza akiingia katika ukumbi huo kwa mbwembwe
No comments:
Post a Comment