Umakini ni muhimu katika semina maana baada ya hapo kazi ndiyo inafuata
Jamani hata mapozi yalikuwepo baada ya semina
Hawa vp wanapeana namba nini? oooh ilikuwa ni kupeana taarifa fulani
Kueleza wajumbe nini umeelewa katika hilo nalo lilikuwa jambo muhimu
Hapa sijajua vizuri wapo mguu sawa au mguu pande?
No comments:
Post a Comment