Tuesday, February 1, 2011

WATANZANIA SIKIENI HII

Mabinti hawa nilikutanha nao na kuwauliza kama wanasoma wakasema wanauza karanga ili wapate fedha za kula na matumizi mengine yakiwemo mahitaji ya shule kwani wao ndio mama ndio baba katika familia.

Hapo chini kuna picha ya dada mmoja mlemavu ambaye analalamikia waandaaji wa mashindano ya walemavu kuwa wanapokuwa wanatoa zawadi katika bahasha wanazopewa huwa hakuna kiasi kinachotajwa 

                     Sasa jamani hii ni hatari kwa TAIFA LETU

No comments:

Post a Comment