Tuesday, February 1, 2011

CHEKA NA CAMERA YA MWANA WA AFRIKAAAAAA


Mdau ukiamua kwenda kutembelea bonde la Ngorongoro lazima ukubaliane na mandhari ya eneo hilo,ebu tazama huyu alikwenda kutembelea bonde hilo lakini wakati gari linaingia kwenye bonde hilo hakuwa na moyo wa ustahimilivu

No comments:

Post a Comment