Wednesday, February 2, 2011

CASTOR MUMBARA

Kijana ameanzia mchangani katika kusakata kabumbu ama gozi ingawa maneno ya watu wasiomtakia mtu mema walikuwepo,nilikuwa nae katika kutafuta maisha kupitia eneo hilo lakini baadaye shule ikanibana.Baada ya kusukuma gozi katika klabu mbalimbali ikiwemo Musoma Shooting,Polisi Mara,Toto ya Mwanza,Yanga na African Lyon aliamua kukwaaa pipa na kwenda mbele.hongera wangu

No comments:

Post a Comment