Monday, February 28, 2011

VIONGOZI WA CHADEMA WATEMBELEA KWA BABA WA TAIFA

 Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na pia ni Katib u mkuu wa Chama hicho Dr Wilbroad Peter Slaa akiteta na Mjane wa Baba wa Taifa mama Maria Nyerere Nyumbani kwake Butiama jana
Mbunge wa jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam halima Mdee akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarge Nyerere kijijini Butiama jan. Picha na JIACHIE

1 comment:

  1. siasa ni kitu kizuri kweli hata ufanye nini huwezi kujificha, mama maria nyerere alivaa hii gauni yake ili aonekane kuwa yeye ni CCM kwa kuvaa green,tofouti na magwanda ya chadema, napenda sana green hiyo lakini chama hicho sasa si chama bali ni gulio la kuzoa walafi na mafisadi si cha cha wanananchi bali ni chama cha upatu.

    ReplyDelete