Sunday, May 12, 2013

UNAFAHAMU MITI INAYOTENGENEZA POMBE AINA YA ULANZI?

Ulanzi ukiandaliwa
Miti inayotengeneza pombe aina ya ulanzi ikiwa imestawi mashambani wilayani Makete
Mingine tayari imeshavunwa
Hii ndiyo michache iliyobakia baada ya kuvuna ulanzi
Hapa ulanzi ukipelekwa majini tayari kabisa kuwafikia watumiaji.Ulanzi ni moja ya bidhaa inayotegemewa sana na wananchi wengi wa mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwemo Njombe kwa ajili ya kuwapatia kipato(PICHA ZOTE NA EDWIN MOSHI)

No comments:

Post a Comment