Friday, February 4, 2011

CHEKA NA CAMERA YA MWANA WA AFRIKA

 Hakuna kitu kizuri katikan maisha kama utauthamini mwili wako kama unavyothamini roho yako
 Anaitwa JM Katute ndiye meneja wa kituo cha redio Kiitwacho Victoria Fm kinachopatikana mjini Musoma
Mmoja wa wafanyakazi wanaopatika katika kituo cha Victoria Fm anafahamika kwa jina la Sefroza Joseph ama Self wa Ukweli anaendesha kipindi cha Extra Vaganza Show

No comments:

Post a Comment