Anaitwa Kulwa mgendi ni mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha nne na sasa anasubri matokeo,nilimuulia angependa kuwa nani akanijibu kuwa anatamani sana siku mmoja awe mchumi wa Kimataifa. haya dogo pambana
Hawa ni wapwa wangu ambao nao hawakuwa nyuma kudai nguo mpya kwa ajili ya sikukuShamrashamra za sikukuu katika soko la Nyasho mini Musoma
No comments:
Post a Comment