TINGISHA TINGISHA TINGISHA KAMA KIBERITI
Ni kinywaji ambacho kinapendwa sana na vijana ambao wanaonekana kupoteza mwelekeo wa maisha,lakini ugomvi wangu kwao hawaweki mazingira safi na nathubutu kusema kuwa mifuko hii ni adui wa usafi katika manispaa ya Musoma
No comments:
Post a Comment