Monday, January 3, 2011

KWAYA YA TUMAINI FPTC MUSOMA WAZINDUA ALBAM YAOKwaya ya Tumaini ya mjini Musoma jana imezindua albam yake ambayo ina nyimbo kumi katika uwanja wa kumbukumbu ya Karume mjini Musoma.Katika uzinduzi huo  mgeni rasmi alikuwa mstahik Meya wa Manispaa ya Musoma Alex Kisurura ambaye alisema kuwa serikali inathamini mchango wa taasisi za dini.

Aliongeza kuwa sala za waumini mbalimbali ndio wamepelekea uchaguzi kuwa wa amani na utulivu huku akiwahimiza wananchi kuwa wasafi,wamoja na waweze kujenga ushirikiano

No comments:

Post a Comment