Monday, January 3, 2011

MAKHIRIKHIRI WAFUNGA MWAKA 2010 MUSOMA KWA KISHINDO

 
 

Burudani kama hii kunipita mimi mtoto wa Afrika si rahis kama unavyofikiri,hawa ni wanamuziki kutoka nchini Botswana ambao walikuja kutoa burudani kwa wakazi wa manispaa ya Musoma Decemba 31 mwaka jana.Naamini watu wengi huwa wanapenda ngoma za kiafrika kama uonavyo

1 comment:

  1. Safi sana, Sauti zao na miondoko yao hukonga nyoyo za wengi! Mfano Dikakapa Tsala:
    http://www.youtube.com/watch?v=QxlkJ4AN2f8&feature=related

    ReplyDelete