Wabunge wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kwam majimbo ya Musoma mjini na Nyamagana leo wamefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya shule ya msingi Mukendo na kuhudhuriwa na wakazi wengi wa jimbo la Musoma mjini
Suala la KATIBA na DOWANS yalikuwa ni agenda kubwa
Mdau picha na maelezo zaidi nitakueleza
No comments:
Post a Comment