Chama cha Demokrasia CHADEMA siku ya jumapili kilifanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya shule ya msingi Mukendo ambapo umati mkubwa wa wakazi wa manispaa ya Musoma,Katika mkutano huo mgeni rasmi alikuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana kutoka jijini Mwanza ambapo suala la katiba na Dowans lilisemwa kwa nguvu kubwa.
Mbali na hivyo pia madiwani wa kata za jimbo la Musoma mjini kutoka chama cha CHADEMA walitoa tathimini yao tangu wameingia madarakani.
Mbunge wa Musoma mjini Vicent Nyerere
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia chama cha NCCR Mageuzi akiwa jukwaa moja na Nyerere katika kuelezea ushirikiano na mbunge huyo
Umati mkubwa wa watu waliojitokeza katika mkutano huo
UMEONA HIYOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Meya wa manispaa ya Musoma ALex Kisurura alisisitiza jambo katika mkutano huo
Ilikuwa ni muda wa dk moja kuwakumbuka wale wote waliopoteza maisha yao huko jijini Arusha
Mtoto wa Mama Ntilie Ezekiel Wenje akihamasisha kukunja ngumi kama salaam ya chama hicho
Huu ulikuwa ni msisitizo
Waliulizwa wangapi wanataka katiba mpya??????????????????????????
Wakajibu woteeeeeeeeeeeeee kwa kuinua mikono
WALEMAVU WALIPEWA NAFASI KATK MKUTANO HUO
Wananchi wa jimbo la Musoma mjini wakisukuma gari la Mh Wenje
No comments:
Post a Comment