Saturday, January 22, 2011

NANI ANASEMA WATANZANIA HATULI MAPANKI?

 Jana wakati tukiwa katika ziara ya Mh Mbunge tulikutana na gari hili ambalo limebeba samaki ambao ufahamika kwa jina la Mapanki likienda kuwauzia walala hoi
 Mh Nyerere aliamua kushuka kwenye gari na kwenda kuhakikisha kama ni kweli au ni samaki wazima ambao hawajachakachuliwa.
 Diwani wa kata za Makoko Mh Alloyce Mawazo aliamua kuchukua moja na kulionyesha kwa waandishi wa habari waliokuwa katika ziara hiyo.HAPO JE?

1 comment:

  1. Hongera kwa kutuhabarisha yanayojiri maeneo hayo.Pia mwonekano wa blogu yzko unapendeza.

    ReplyDelete