Saturday, January 22, 2011

MH. NYERERE ATEMBELEA SOKO LA KWA SAA NANE

 Mh Nyerere mbunge wa Musoma mjini akiongea na wafanyabiashara na wananchi wa eneo la soko la Kwa saa nane mjini Musoma ambapo alisema wananchi hao wasilipe ushuru mpaka soko hilo litakapofanyiwa maboresho. Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
 Agizo la kutolipa ushuru halikuwa la ndani ya soko tu bali hata kwa wale ambao wako nje ya soko kama uonavyo picha hiyo Mh Nyerere akiongea na wakina mama wauza viazi
Unapokuwa kiongozi wewe ni mtu wa watu hivyo njia sahihi ni kumsikiliza kila mtu mwenye shinda kama uonavyo picha hiyo Nyerere yuko makini kusikiliza wananchi wa eneo hilo

No comments:

Post a Comment