Sunday, January 16, 2011

JAMII YA KIMASAI BADO INANGUVU KATIKA KUENZI MILA ZAO


Jamii ya Wamasai ni moja ya jamii ambayo bado imebaki kuwa imara katika suala zima la kuenzi Mila,hivi karibuni wakati waandishi wa habari wa mkoa wa Mara wakiwa katika ziara ya kutembelea bonde la Ngorongoro tulibahatika kufika katika maboma yao ambapo tulijifunza mambo mengi.

Moja ya mambo hayo ni pamoja jinsi gani wanavyokuwa na taratibu za kuweza kukaribisha wageni kwa Nyimbo,tamaduni mbalimbali kuhusu maisha yao na jinsi gani ambavyo wamejidhatiti kulinda Mila hizo.
Hiyo ni moja ya jamii tu katika nchi yetu ya Tanzania,je wewe mtanzania unaenzi Mila yako?

No comments:

Post a Comment