Tuesday, December 14, 2010

WATANGAZANI WA VICTORIA FM WATINGA St AUGUSTINE MWANZA

 Mhadhiri katika chuo kikuu cha  St Augustinr jijini Mwanza Getruda John akitoa somo kwa watangazaji wa Victoria Fm waliopo chuoni hapo kwa mafunzo zaidi katika taaluma ya habari
 Masomo si kwa wafanyakazi pekee hata Menejea wa kituo hicho kwa kuelewa umuhimu wa tasnia ya habari nae aliona ni muhimu kujumuika katika mafunzo hayo
           Masomo yanaendelea kama kawaida St Augustine jijini Mwanza
  Bi Getruda John akiendelea kugawa kwa watangazaji wa Victoria Fm ya Mjini Musoma kile alichobahatika kukipata wakati anasoma
  Mwana wa Afrika hakuwa mbali nae alijumuika katika kutoa darasa kwa wenzake
  Masomo si ya nadharia pekee bali hata vitendo ni masomo kama unavyoona Happy,Cares na Mwana wa Afrika wakiwa katika mitambo
                            Somo linaendelea
                  Hakuna kulala katika kusoma
              Emanuel Chibassa nae hakuwa nyuma katika masomo hayo
                Mwana wa Afrika hapitwi na kitu nae kama kawaida ndani ya mitambo
                                               Mwana wa Afrika

        Sefroza Joseph akiwa amepozi na Mwana wa Afrika katika studiio za kituo cha redio SAUT
                                                      Pozi sasa

        Hii ni sehemu muhimu sana katika maisha ya binadamu hapa vijana wakipata kifungua kinywa baada ya masomo ya asubuhi
  Kijana huyu anaitwaAlhaj Aloyce ni mmoja wa wanafunzi wanaosoma katika chuo cha St Augustine kitivo cha sheria alijumuilka nasi katika msosi,mbali na hivyo pia nimesoma nae O level katika Shule ya Musoma Dya mwaka 1999...2002
             Pozi la shabiki wa Arsenal kipigo kama kawaida
                                                        Pozi
       Mapumziko baada ya shule ni muhimu sana jamani
          Katika maisha ya leo nani hataki kuwasiliana ?

Shomary wa Binda nae yupo katika mafunzo hayo jijini Mwanza na baada ya masomo kama kawaida kupumzika na kuwasiana na ndugu jamaa na marafiki

No comments:

Post a Comment