Friday, December 10, 2010

TMF YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA VICTORIA FM

 Mwanahabari mwandamizi na mmiliki wa kituo cha Redio (Sports Fm) kinachorusha matangazo yake kutoka mkoani Dodoma Abdallah Majura akipata MENU sanjari na Mwana wa Afrika katika ukumbi wa Pensula Hotel
 Abdallah Majura akitaza mambo katika kompyuta yake ya kiganjani kabla hajamwaga nondo wa wafanyakazi wa Victoria FM
Mwezeshaji Derick Mrusuli akifafanua jambo katika semina hiyo baada ya Mwana wa Afrika kutoa pongezi kwa wawezeshaji wa semina hiyo semina hiyo.

No comments:

Post a Comment