Tuesday, December 21, 2010

WADIWANI WA MANISPAA YA MUSOMA WAKIAPA

 Mkuu wa wilaya ya Musoma kapteni mstaafu Geofrey Ngatuni akiongea jambo wakati wa kuapisha baraza la madiwani manispaa ya Musoma
 Mbunge wa Musoma mjini ambaye pia ni diwani wa kata ya Mukendo Vincent Nyerere akiapa
 Meya wa manispaa ya Musoma Alex Kisurura (Nyamatare) akiapa tayari kuwatumikia wananchi
                      Diwani wa kata ya Mwigobero akiapa
                           Diwani wa kata ya Mwisenge akiapa
 Diwani wa kata ya Nyakato Swahibu Mohamed ambaye alikuwa meya katika kipindi cha miaka mitano iliyopita akiapa tayari kuwatumikia wananchi wa Nyakato
Naibu wa manispaa ya Musoma Angela Lima (Kamnyonge) akiapa tayari kuwatumikia wananchi

No comments:

Post a Comment