Saturday, December 18, 2010

HAPPY BIRTHDAY MWANA WA AFRIKA

Tangu nimeanza kuwa miongoni mwa wana blog nimepata marafiki wengi kutoka nchi mbalimbali na kuendelea kuamini kuwa hakika ujumbe wangu wa maneno na picha ninazotoa katika blog yangu unafika kama nilivyokusudia,pamoja na hivyo mdau leo nashukuru Mungu natimiza miaka mingi sana katika dunia hii.

Pili namshukuru Mama Yangu Jamilah Mgendi kwa malezi mazuri kwangu na siku zote kunita moyo pale ninapokuwa napoteza matumaini kwa kile ninachokifanya na mwisho shukrani sana kwa wote walionitumia ujumbe mfupi wa maneno kunitakia Hppy Birthday Mungu awabariki

No comments:

Post a Comment