Mr Lubaba akiendelea kutoa elimu ya uchunguzi katika suala zima la habari leo asubuhi
Mambo bado yanaendelea kwa pembeni kuna Laptop yenye kutoa mambo muhimu
Vijana wa Victoria Fm wakiwa makini katika kusikiliza somo la utafiti
Mwana wa Afrika nilipata nafasi ya kutoa mtazamo wangu katika Investigation Journalism
Mambo yanaendelea katika chuo kikuu cha St Augustine jijini Mwanza leo asubuhi
Shule ilikwisha baadaye tukapata muda muafaka wa kupata Breakfast
Mambo yaliendelea katika meza ya msosi,jamaa wamejenga mwili ile mbaya
Meneja wa Victoria Fm John Katute naye akipata Breakfast asubuhi ya leo ndani ya St Augustine
Shomary Binda akipata kifungua kinywa leo asubuhi
Hata kama ni mahusiano hapa yamefika mbali,Sefroza na Binda katika Breakfast leo asubuhi
Emanuel Chibasa baada ya kushiba akiwa anapumua kwa pembeni yupo bibie Happy Mohamed
No comments:
Post a Comment