Friday, December 17, 2010

BAADA YA MAMBO YA UTAFITI SASA TUNAENDELEA NA MAADILI

 Mhadhiri wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine cha jijini Mwanza  Denis Mpagaze akiendelea kutoa shule kwa wafanyakazi wa Victoria Fm
Hata vitendo vinatakiwa kuonyeshwa wakati wa kufundisha vijana wa Victoria Fm kama anavyoonekana mr DeniS Mpagaze

No comments:

Post a Comment