Baada ya kupata shule ya maana sasa muda ulikuwa ni wa kutazama dunia jinsi gani inavyokwenda kama ujuavyo dunia kwa sasa imekuwa kijiji
Mr Denis baada ya kutoa semina kuhusu mambo ya maadili katika uandishi wa habari sasa kazi ikawa ni kuwapa vijana mawasiliano katika sehemu mbalimbali ikiwa ni njia ya kupanua mtandao wa kimawasiliano
No comments:
Post a Comment